Site icon Sports Leo

Mwendwa Mali Rasmi Ya Leopards

AFC Leopard ya kenya imekamikisha usajili wa mshambuliaji,Harrison Mwendwa kutoka Kariobangi Sharks kwa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo miaka miwili.

Leopard wamekuwa wakifanya usajili wao kimyakimya na kwa umakini wa hali ya juu kwa ajili ya msimu mpya wa nne wa ligi kuu Kenya(KPL) 2020/2021.

Mwendwa ameahidi kutoa ushirikiano kwa jinsi anavyoweza kuisapoti klabu yake hiyo mpya kufikia malengo msimu mpya wa KPL.

Exit mobile version