Site icon Sports Leo

Nane Wapigwa Chini Kagera Sugar

Uongozi wa Kagera Sugar umeamua kuachana na nyota wao nane ambao wamemaliza mikataba yao  kwa msimu wa 2019/20 kulingana na ripoti ya kocha wao mkuu,Meck Maxime.

“Wachezaji ambao tumeachana nao ni Juma Nyosso, Ally Shomary, Juma Shemvuni,Majidi Bakari,Frank Ikobela,Evarist Mujwahuki,Kelvin Sabato na Geofrey Mwashiuya,”alisema katibu wa klabu hiyo,Ally Masoud.

Exit mobile version