Aliyekua kocha wa klabu ya Kagera Sugar Fc Mellis Medo amejiunga na klabu ya Singida Black Stars mara baada ya kuachana na klabu ya Kagera Sugar kutokana na matokeo yasiyoridhisha. …
kagera sugar
-
-
Nyota wa zamani wa klabu ya Geita Gold na FC Lupopo ya Dr Congo George Aman Mpole amejiunga na klabu ya Kagera Sugar baada ya kuachana na klabu ya Pamba …
-
Kinda wa klabu ya Simba Sc Ladack Chasambi amekua mwiba mkali kwa Kagera Sugar akiiongoza klabu yake kupata ushindi wa mabao 5-2 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini …
-
Uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar Umefungua mazungumzo na Kocha wa sasa wa klabu ya Mtibwa Sugar raia wa Marekani Mellis Medo ili kujiunga na klabu hiyo kuchukua nafasi ya …
-
Klabu ya Kagera Sugar Fc ya mkoani Kagera ipo katika hatua za mwisho kuachana na kocha wake mkuu paul Nkata raia wa Uganda kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika michuano ya …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu muhimu baada ya kuifunga Kagera Sugar Fc bao 1-0 katika mchezo wa raundi ya 26 ya ligi kuu ya Nbc nchini …
-
Timu ya Kagera Sugar Fc imefanikiwa kulazimisha sare katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera ambapo mchezo ulimalizika kwa suluhu 0-0. …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho amerejea rasmi kikosini baada ya kukosekana katika michezo mitatu baada ya kufungiwa na bodi ya ligi kuu nchini kwa kosa la kumpiga …
-
Wakati kikosi cha Yanga sc kikiwa tayari kimewasili mkoani Kagera kuivaa Kagera Sugar Fc mastaa wawili wa timu hiyo wanatarajiwa kuukosa mchezo huo utakaofanyika siku ya kesho Ijumaa kuanzia saa …
-
Klabu ya Kagera Sugar Fc imeachana na kocha wake Mecky Maxime kwa makubaliano ya pande mbili siku moja baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Azam …