Uongozi wa Yanga Sc umejiridhisha na uwezo wa nyota wao watano waliowasajili katika msimu huu wa pili wa ligi kuu bara ulioanza 12 Septemba na wamejiakikishia kuwa wakiendelea na mazoezi …
wachezaji
-
-
Yanga Sc ipo kwenye harakati za kufanya vizuri msimu wa pili wa ligi kuu bara,hivyo hata mabadiliko ya sehemu ya kufanyia mazoezi na makazi yao wamebidi kuyaboresha ili kujenga utulivu …
-
Bilionea wa GSM ,Ghalib Mohhamed amewahamisha wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la ufundi ili kupata utulivu kwenye makazi yao mapya yaliopo Kigamboni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao …
-
Ofisa wa habari wa Yanga Sc ,Hassan Bumbuli amewaomba mashabiki wa Yanga Sc kujitokeza kwa wingi leo katika kuadhimisha kilele cha wiki ya wananchi ambayo itahitimishwa leo uwanja wa Benjamin …
-
Msanii wa kitaifa na kimataifa,Alikiba ameziteka fahamu za mashabiki wa Azam siku ya leo katika kusheherekea sikukuu yao ya tangu kuanzishwa kwake. Mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa ni waziri …
-
Uongozi wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam Festival kwani kutakuwa na burudani za kutosha zilizoandaliwa kwa ajili …
-
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Sc, Senzo Mbata leo Agosti 22 ameibuka ndani ya uwanja wa chuo cha Sheria kuwaona wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya …
-
Uongozi wa Kagera Sugar umeamua kuachana na nyota wao nane ambao wamemaliza mikataba yao kwa msimu wa 2019/20 kulingana na ripoti ya kocha wao mkuu,Meck Maxime. “Wachezaji ambao tumeachana nao …
-
Wakati Yanga Sc ipo kwenye anga ya kufanya maboresho ya kikosi chake ili kuwa na ushindani kwenye namba zote kuanzia kipa mpaka wachezaji wa ndani, vita yao sasa inaongezewa makali …
-
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc ameanza mikakati ya kusuka upya kikosi chake huku akiweka wazi kuwa anahitaji wachezaji saba na amepanga kuwatema 11. Yanga inaonekana kupata wakati mgumu …