Home Makala Onyango Asaini Simba

Onyango Asaini Simba

by Sports Leo
0 comments

Nyota wa zamani wa klabu ya Gor Mahia,Joash Onyango ametambulishwa rasmi leo ndani ya Simba sc baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu hiyo.

Onyango alishawahi kufanya kazi kwa ukaribu na Francis Kahata alipokuwa ndani ya Gor Mahia jambo ambalo linaleta ukaribwa zaidi wa familia hizo mbili kikazi.

Hapo awali nyota huyo alikuwa akipakaa rangi nywele na ndevu zake, sasa amekuja na muonekano wa tofauti akiwa amezitoa kabisa nywele zake tayari kwa ajili ya kuitumikia Simba Sc msimu wa 2020/21.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited