FB IMG 1727351962370

Feisal Atengewa Mamilioni Azam Fc

Taarifa kutoka ndani ya mabosi wa klabu ya Azam Fc zinasema kuwa wamejiandaa kumpa mkataba mpya kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Feisal Salum wenye mshahara wa shilingi milioni 40 kwa mwezi. Mabosi hao wameamua kumpa mshahara huo mkubwa ili kumshawishi staa huyo kuongeza mkataba mpya baada ya huu wa sasa kubakisha mwaka mmoja mwishoni mwa…

Soma Zaidi
IMG 20240814 WA0013

Mtasingwa Ajifunga Azam Fc

Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili kusalia klabuni hapo kiungo wake Adolph Mtasingwa Bitegeko ambaye alikua anamaliza mkataba wake Januari mwakani. Awali tetesi zilisema kuwa kiungo huyo alishamalizana na klabu ya Yanga sc kwa kukubaliana kila kitu ambapo ilikua ikisubiriwa amalize mkataba wake ili atue jangwani. Leo mapema klabu hiyo…

Soma Zaidi
Tumeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya 2024 2025 timuyawananchi daimambelenyumamwiko

Kibwana Asalia Yanga Sc

Beki wa Kulia Kibwana Shomari ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia katika klabu ya Yanga sc baada ya ule wa awali kufikia tamati msimu huu uliotamatika kwa klabu hiyo kutetea mataji mawili ya ligi kuu na kombe la Shirikisho nchini. Kibwana awali tetesi zilivuma kuwa anahitajika na klabu ya Azam Fc lakini uimara wa Rais…

Soma Zaidi
saido

Saido,Bocco Bye Bye Simba Sc

Baada ya kutangaza kuachana na John Bocco,Klabu ya Simba sc imeendelea kuachana na mastaa mbalimbali waliomaliza mikataba klabuni hapo ambapo leo hii imetangaza kuachana na Saido Ntibanzokiza ambaye mkataba wake umemalizika klabuni hapo. Simba sc baada ya kukosa ubingwa wa ligi kuu nchini kwa miaka mitatu mfululizo sasa imeamua kufumua kikosi chote sambamba na utawala…

Soma Zaidi
percytau action bpp1200 231027

Al Ahly Wafanya Kufuru kwa Tau

Mazungumza ya kuongeza mkataba mpya baina ya klabu ya Al Ahly na mshambuliaji Percy Tau yamefikia pazuri ambapo staa huyo anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga klabuni hapo kwa miaka mitatu mingine huku akitarajiwa kuwa mchezaji anayelipwa zaidi barani Afrika. Katika mkataba huo mpya Tau atakua anatia mfukoni Mshahara wa dola milioni 5.13 katika…

Soma Zaidi
24912695

Bacca Ajifunga Yanga Mpaka 2027

Beki wa klabu ya Yanga sc Ibrahim Hamad maarufu kama Bacca ameongeza mkataaba wa kuendelea kusalia katika klabu ya Yanga sc kwa kipindi cha miaka mitatu ambapo atakaa klabuni hapo mpaka mwaka 2027 mkataba wake utakapomalizika rasmi. Bacca aliyewashangaza wengi baada ya kuleta ushindani katika pacha ya Dickson Job na Bakari Mwamnyeto katika eneo la…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks