Shirikisho la soka barani Afrika limetoa ratiba ya kufuzu michuano ya Afcon 2022 na kombe la Dunia 2022 kwa mataifa wanachama wa shirikisho hilo.
CAF walisogeza mbele michuano ya Afcon June 30 iliyotakiwa kufanyika nchini Cameroon kutokana na athari za janga la Corona hivyo kusogeza mbele kuanzia mwezi june 2021 hadi January 2022.
Kuanzia November 9-17 mwaka 2020 na march 22-30 mwaka 2021 ni mechi za kufuzu Afcon huku kuanzia May 31 hadi June 15, August 30 hadi September 7 pamoja na October 4-12 Mwaka 2021 ni mechi za kufuzu kombe la Dunia
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
November 8-16 ni mechi za mtoano kupata mataifa matano yatakoyowakilisha Afrika nchini Qatar.