Morocco Beats Comoros 2 0 3

Morocco Yaanza na Ushindi Afcon

RABAT, Morocco Katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, wenyeji Morocco walijipatia ushindi wa 2–0 dhidi ya Comoros, mchezo uliochezwa usiku wa Jumapili kwenye uwanja wa Prince Moulay Abdellah mbele ya mashabiki wengi waliokusanyika. Huu ulikuwa ni mchezo wenye shinikizo kubwa kwa Morocco, ambao walionekana kuanza polepole kabla ya hatimaye…

Soma Zaidi
Screenshot 20241015 100830 Instagram

Dube Atupia Zimbabwe Ikishinda 3-1

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube amesaidia nchi yake ya Zimbabwe kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namibia ikiwa katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani nchini Algeria. Musona ⚽⁵⁰’ ⚽⁶1′ (Penati) Dube ⚽⁸⁹’ Eiseb ⚽⁹⁰’ Katika Mchezo huo mabao ya Zimbabwe yalifungwa na mshambuliaji…

Soma Zaidi
icon 75270105

Nigeria Yatinga Fainali Afcon 2023

Timu ya Taifa ya Nigeria imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kuibuka na ushindi wa 4-2 kwa penati baada ya sare ya 1-1 katika dakika 120 za kawaida. Nigeria licha ya kumiliki mchezo huo iliwalazimu kusubiri mpaka dakika ya 67 ya mchezo kupata bao…

Soma Zaidi
0 FBL CAN 2024 CPV RSA

Kivumbi Nusu Fainali Afcon

Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) sasa imeingia hatua ya nusu fainali ambapo timu nne za Congo Drc,Nigeria,Ivory Coast na Afrika kusini watamenyana kuwania nafasi ya kuingia fainali ya michuano hiyo inayoendelea nchini Ivory Coast. Nigeria walifuzu nusu fainali wakiifunga Angola 1-0 bao la dakika ya 41 la Ademola Lookman huku Congo Drc wakiifunga…

Soma Zaidi
b24a2sm0566

Senegal Yatolewa Afcon 2024

Timu ya Taifa ya Senegal imetolewa katika michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kwa penati dhidi ya timu ya Taifa ya Ivory Coast baada ya kutoka sare ya 1-1 katika dakika 90 za mchezo huo wa kufuzu robo fainali. Senegal ilikua ya kwanza kupata bao la mapema dakika ya…

Soma Zaidi
AP24021587832148 1705854556

Congo,Morocco Matatani Caf

Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limeanzisha uchunguzi maalumu juu ya vurugu zilizotokea wakati wa mchezo wa pili wa kundi F baina ya timu za Taifa za Morocco na Congo DR ambapo timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na kuzidi kulifanya kundi hilo kutotabirika nani atapita. Baada ya mchezo kuisha kuliibuka vurugu ambapo zilianza kwa…

Soma Zaidi
421161299 950071043148146 537070205290518344 n

Stars Hali Tete Afcon

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Zambia katika mchezo wa raundi ya pili ya kundi F. Katika mchezo huo Stars tayari walishauchukua baada ya kuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks