Home Makala Rekodi Mpya Yawekwa Na Ronaldo

Rekodi Mpya Yawekwa Na Ronaldo

by Sports Leo
0 comments

Christian Ronaldo afikisha mabao 101 ya kitaifa na kuweka rekodi mpya ya mwanasoka wa kwanza bara la Ulaya,akiwa katika timu ya taifa  ya Ureno.

Rekodi hii inafikishwa kwa mabao 2-o aliyoyapachika dhidi Uswidi kwenye gozi la UEFA Nations League siku ya jana.

Bao la kwanza la mchezaji huyo wa Juventus lilifungwa dakika ya 45 huku lile la pili lilipachikwa dakika ya 72.

banner

Ronaldo kwa sasa anabakisha mabao nane pekee ili kufikia rekodi ya mfungaji bora wa dunia ambayo kwa sasa inashikiliwa na Ali Daei wa Iran mwenye jumla ya mabao 109.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited