Home Makala Roma Wamtaka Smalling Tena

Roma Wamtaka Smalling Tena

by Sports Leo
0 comments

Manchester United inadaiwa kumueka sokoni beki wake wake wa kati, Chris Smalling ambaye anahitajika na klabu As Roma,na Inter Milan.

Smalling aliwahi kuichezea Roma kwa mkopo msimu uliopita katika mechi 37 za mashindano yote,hivyo kwa sasa pia klabu hiyo ipo tayari kumsajili moja kwa moja kwa mkataba nyota huyo ingawa hawajafikia dau lililowekwa na Manchester United ambalo ni pauni 18 millioni.

Roma kwa sasa ina Pauni 13 millioni na haipo tayari kuongeza kiasi kingine kutokana na tayari wameshaongeza wachezaji wawili katika safu ya ulinzi ambao ni Hellas Verona na Marash Kumbulla.

banner

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited