Ofisa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Shaban Kamwe amesema kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Afrika Kusini Skudu Makudubela atarejea nchini mapema hii leo.
Kamwe amesema kuwa Skudu amekamilisha swala lake la hati ya kusafiria lililompeleka Afrika Kusini na tayari mchezaji huyo ameshapona na kama kocha akiamua kumtumia Jumamosi ni juu yake.
“Skudu kweli alisafiri kwenda Afrika Kusini na kesho Ijumaa atarejea nchini Kocha Gamondi akitaka kumtumia Jumamosi ni maamuzi yake , amepona kabisa na tuliwaaambia amekwenda kushugulikia passport yake ya kusafiria”Alisema Ally Kamwe
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Skude amekua maarufu nchini yangu ajiunge na klabu hiyo hasa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira kwa mbwembwe na staili tofauti tofauti.