Tuisila Kisinda wa klau ya As Vita amesema kuwa Yanga ndiyo timu ambayo ipo akilini mwake baada ya kufanikiwa kufanya mazungumzo ya awali na kiongozi mmoja wa Yanga, japo hakukukamilisha mipango yote ya usajili, ila maongezi hayo yanamfanya azidi kuifikiria Yanga kwa kuwa wana mpango nae wa kumsajili.
Yanga SC ipo kuhakikisha inakijenga kikosi chao kuwa imara na imeahidi kuleta majembe kutoka timu zinazofanya vizuri katika michuano ya kimataifa kama AS Vita na timu nyingine.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
“Kama kila kitu kitaenda sawa huko mbeleni nadhani nitatua kwenda kucheza Yanga, kiufupi napapenda sana Tanzania kwa kuwa watu wake wanapenda amani na watulivu sana pia navutiwa zaidi kucheza kwao kama nitafanikiwa,” alisema Tuisila