Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Mashujaa Fc Ismail Mgunda ameondoka nchini leo hii kuelekea nchini DR Congo kujiunga na timu ya As Vita iliyomsajili katika dirisha dogo la usajili mwezi …
as vita
-
-
Taarifa kutoka nchini Kongo zinasema kwamba mshambuliaji hatari wa klabu ya As Vita Jean Makusu yupo njiani kutua katika klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini kwa mkopo …
-
Yanga Sc imekamilisha usajili wa wachezaji wawili kwa mpigo kutokea nchini DR Congo kwenye klabu ya As Vita ambao ni Mukoko Tunombe na Tuisila Kisinda. Wote wawili wamekubali kumwaga wino …
-
Rais mpya wa Klabu ya AS Vita, mwanamama mrembo, Bestine Kazadi, ameweka wazi kuwa kocha wa mkuu wa timu hiyo, Frolent Ibenge hawezi kwenda popote ikiwa ni siku chache tu …
-
 Nyota wa zamani wa Simba,Zana Coulibary amevunja mkataba na mabosi wake wa AS Vita ya Congo. Zana alikipiga ndani ya Simba iliyotinga hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa …
-
Tuisila Kisinda wa klau ya As Vita amesema kuwa Yanga ndiyo timu ambayo ipo akilini mwake baada ya kufanikiwa kufanya mazungumzo ya awali na kiongozi mmoja wa Yanga, japo hakukukamilisha …
-
Aliyekuwa beki wa Simba Sc Zana Coulibaly ambaye pia ni raia wa Ivory Coast amesema kuwa yupo tayari kurejea Bongo kukipiga ndani ya Yanga auAzam iwapo watahitaji huduma yake. Beki …
-
Baada ya usajili wa Bernard Morrison aliyetokea DC Motema Pembe ‘kubamba’, inaelezwa Yanga inamnyemelea mchezaji kutoka klabu ya AS Vita ya huko DR Congo. Winga Tuisila Kisinda ndiye anayetajwa kutakiwa …
-
Inadaiwa ni ngumu kumuchukua kocha wa Simba klabuni hapo kutokana na mahusiano na malengo aliyojiwekea na tajiri wa klabu hiyo bilionea Mohamed Dewji toka msimu uliopita. Hivi karibuni zilisambaa tetesi …
-
Timu ya As Vita ya nchini Kongo iliyokua ije nchini kumenyana na Yanga sc katika siku ya kilele cha tamasha la wiki ya mwananchi imeahirisha kuja nchini kucheza na wanajangwani …