Vilabu vya Sweden vimeishtumu serikali yao kwa kutowapa ruhusa ya kurejea kwa ligi nchini humo kwani Ujerumani na England wameshaanza mazoezi na Bundasliga kuanza leo kucheza ligi yao rasmi.
Vilabu hivyo vinahitaji ligi hiyo irejee mwezi June 14 lakini serikali bado haijatoa ruhusa ya kuanza kwa ligi hiyo kutokana na kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.