Home Makala Yanga jipangeni Kwa Awamu Ijayo

Yanga jipangeni Kwa Awamu Ijayo

by Sports Leo
0 comments

Kwa nafasi Yanga waliyoachwa na Simba ni ngumu kuwafikia kwani kunahitaji juhudi na akili nyingi kutokana na mzigo wa pointi wanazodaiwa na idadi ya mechi walizonazo.

Aidha  itokee Simba wapoteze mechi zao zilizobaki na wao washinde mechi zao zilizobaki jambo ambalo ni mtihani mgumu kufanikiwa hivyo ni heri yaishe kwa upande wa ubingwa.

Yanga ipo nafasi ya tatu na pointi 51 huku mtani wake wa jadi Simba Sc ana pointi 71 ,Yanga imebakiwa na mechi 11 na  Simba mechi kumi.

banner

Ligi Kuu Bara kwa sasa imesimama kutokana na kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona na inatarajiwa kurejea baada ya mwezi mmoja.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited