Jezi Mpya za Yanga SC 2025/2026 - sportsleo.co.tz

Jezi Mpya za Yanga SC 2025/2026

Jezi Mpya za Yanga SC 2025/2026: Zama Mpya za Ubunifu na Utambulisho Kila msimu mpya wa soka huja na msisimko wake, na kwa wapenzi wa Yanga, hakuna kinachosisimua zaidi kuliko jezi mpya za timu. Msimu wa 2025/26 unatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa, hasa katika suala la jezi za klabu. Mabadiliko haya yanakuja baada ya Mwanamitindo…

Soma Zaidi
FB IMG 1746792426784

1.5B Kumng’oa Ahou Msimbazi

Klabu ya Simba Sc imesisitiza kuwa haiko tayari kumuachia kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua kwa dau chini ya shilingi bilioni 1.5 za kitanzania. Awali klabu hiyo iliwasiliana na Kaizer Chiefs kuwa haitamuuza kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua (23) kutokana na kocha Fadlu Davis kuwa katika mipango yake ya msimu ujao. Hata hivyo sasa hivi mabosi…

Soma Zaidi
Screenshot 20241102 080235 Instagram

Yanga Sc Yapigwa Faini 12m

Klabu ya Yanga sc imepigwa faini ya shilingi za kitanzania milioni 12 na bodi ya ligi nchini kutokana na makosa mbalimbali kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo. Yanga sc imepigwa faini hiyo kutokana na makosa ya kutumia mlango usio rasmi katika mchezo ambapo wamekiuka kanuni ya 17:21 ya ligi kuu na kupewa adhabu…

Soma Zaidi
Screenshot 20241021 091021 Instagram 1

Yanga Sc Yainyamazisha Simba Sc

Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Simba Sc katika mchezo uliofanyika Jumamosi Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba sc chini ya Kocha Fadlu Davis ulianzisha kikosi chake kile kile kilichovuna alama 13 katika michezo mitano…

Soma Zaidi
FB IMG 1723449843182

Simba Sc Yajipoza Kwa Coastal Union

Klabu ya Simba Sc imejipoza kutoka kufungwa Derby ya kariakoo na Yanga sc baada ya kuibamiza Coastal Union kwa bao 1-0 katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu ya Ngao ya Jamii uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo kocha Fadlu Davis aliamua kuanza na wachezaji wanne wapya kutoka…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks