Beki mkongwe wa klabu ya Azam Fc Aggrey Morris ametangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania baada ya kuitumika timu hiyo kwa miaka kumi.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 36 anastaafu kuichezea Taifa Stars baada ya kuitumikia takribani michezo 35 huku akifunga mabao mawili.
Aggrey ataagwa kwa heshima januari 10 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Congo ambao utakua kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya kimataifa ya Chan inayoanza hivi karibuni ambapo Tanzania inashiriki.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.