Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kushoto kutoka Benfica ya Ureno Nuno Tavares kwa ada ya paundi milioni 8 za Kiingereza.
Arsenal ilimuona Tavares walipokutana na Benfica katika michuano ya Europa ligi msimu uliopita na anaenda kuongeza ushindani kwa Kieran Tierney katika beki ya kushoto.
Huu unakuwa usajili wa pili kwa Arsenal ndani ya siku mbili mara baada ya kumpa mkatana kipa kinda Okonkwo, Arsenal pia wako mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa Anderlecht Albert Lokonga.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.