Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho la Azam baada ya kuifunga klabu ya Rhino Rangers ya Tabora kwa mabao 3-1.
Seleman Abdalah alipachika bao kwa Rhino Rangers dakika ya 31 lakini bao hilo lilidumu kwa dakika mbili tu ambapo Ayoub Lyanga alisawazisha,huku mabao mengine ya Azam FC yalifungwa na Agreý Morris 65′ na Obrey Chirwa 80′.
Sasa Azam Fc inasubiri mshindi kati ya Simba sc na Dodoma Jiji Fc ili kujua itakayekutana nae nusu fainali.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.