Shirikisho la soka barani Africa(CAF) limeipiga faini ya dola za Kimarekani 5000(sawa na Tsh milioni 11) kwa kosa la kwanfanyia matukio ya sio ya kimichezo klabu ya Rivers United ya Nigeria katika mchezo wa awali wa mtoano kombe la klabu bingwa Afrika uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Taarifa hito imetolewa na shirikisho la mpira wa miguu nchini(TFF) katika taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari hii leo huku likipanga kukutana na timu zote za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya Kimataifa.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Katika mchezo huo Yanga ilipoteza kwa goli 1-0 nyumbani kabla ya kufungwa tena 1-0 ugenini na kuondolewa kwenye michuano waliyorejea kushiriki baada ya kukosa kwa misimu kadhaa.