Home Soka Emery Presha Tupu Arsenal

Emery Presha Tupu Arsenal

by Sports Leo
0 comments

Imeelezwa kuwa, uongozi wa Arsenal umeanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa kuchukua mikoba ya kocha wao wa sasa, Unai Emery ambaye amekuwa na mwendo wa kusuasua ndani ya Ligi Kuu England.

Kumekuwa na presha kubwa ndani ya Bodi ya Uongozi wa Arsenal baada ya kocha huyo wikiendi iliyopita wakiwa nyumbani kuiongoza Arsenal kulazimisha sare ya mabao 2-2 kwenye mchezo wao wa ligi hiyo dhidi ya Southampton.

Habari zinaeleza kuwa, licha ya Unai kupewa muda wa kurejesha makali ya kikosi hicho cha Arsenal, bado hawajaridhishwa na mwendo wake hivyo kinachofuatia kwa sasa ni kupigwa chini jumla.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited