Home Soka Kaze Atimuliwa Yanga sc

Kaze Atimuliwa Yanga sc

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Yanga sc imeachana rasmi na kocha Cedrick Kaze baada ya kuwa na matokeo yasiyoridhisha katika raundi ya pili wa ligi kuu Tanzania bara.

Taarifa rasmi iliyotolewa na mitandao ya kijamii kutoka klabuni hapo zinaonyesha kuwa Kaze ametinuliwa pamoja na benchi lote la ufundi la klabu hiyo akiwemo Nizar Khalfan ambaye aliajiliwa mwezi mmoja uliopita kama kocha msaidizi.

Matokeo yasiyoridhisha mfululizo ikiwemo kufungwa dhidi ya Coastal Union huku wakitoka sare na Mbeya City na Kagera Sugar pamoja na mchezo dhidi ya Polisi Tanzania.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited