Kiungo wa Red Bull Salzburg Dominik Szoboszlai yu karibu sana kujiunga na RB Leipzig ya Ujerumani.
Leipzing inataka kulipa €25m kama release clause iliyopo kwenye mkataba wa kiungo huyo na klabu yake, ambapo (Leipzig) wanataka kulipa mkwanja huo mapeeeemaaa kabla ya Christmas.
Leipzig inatarajia kuzipiku AC Milan na Arsenal katika kinyang’anyiro hicho cha kuwania saini ya kiungo huyo.
Pia, taarifa zinadai kuwa, kiungo huyo atafanya maamuzi baada ya wikiendi hii kuisha.