Home Soka Kmc Yailaza Biashara

Kmc Yailaza Biashara

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Kmc imeifunga timu ya Biashara united kutoka mkoani Mara katika mchezo uliofanyika jana mchana ambapo timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wageni.

Kmc ilijipatia bao la kwanza dakika ya 30 ya mchezo likifungwa na Serge kwa njia ya penati kabla ya Kenny Ally kuongeza bao la pili dakika ya 58 huku Ramadhan Chombo Redondo akiipatia biashara bao la kufuta machozi dakika ya 64.

Ushindi huo umeifanya Kmc kushikan nafasi ya 15 ikiwa na pointi 8 baada ya kucheza michezo saba huku biashara wakishika nafasi ya 16 wakiwa na pointi nane katika michezo 9.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited