Marcio Maximo Arudi Na Moto Wake: JE, Hii Ndio Kmc Mpya Ya Ndoto?
Ni miaka karibu 20 imepita tangu jina la Marcio Maximo liingie kwa kishindo kwenye soka la Tanzania. Alikuja kama mgeni, akaondoka akiwa kipenzi. Leo, historia inaandika ukurasa mpya – Maximo amerudi tena, lakini safari hii si kuinoa Taifa Stars bali kuipa uhai mpya timu ya KMC FC. Na tayari ameshaanza kwa kishindo, akiipa KMC ushindi…
