Home Soka Man City Imooo

Man City Imooo

by Sports Leo
0 comments

Mahakama ya usuluhishi ya michezo ( CAS ) wametengua kifungo cha Manchester City cha kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao ambapo awali walifungiwa miaka miwili .

Klabu hiyo iliwasilisha shauri lao kupinga adhabu hiyo katika mahakama hiyo ya michezo duniani ambapo walihukumiwa kwa miaka miwili na Shirikisho la soka duniani(Fifa) hivyo baada ya kusikilizwa na Cas sasa adhabu hiyo imetenguliwa na kuwahakikishia uhakika wa kushiriki michuano ya ulaya msimu ujao.

Pia katika hukumu ya awali klabu hiyo ilitozwa faini kiasi cha paundi 30 milioni ambacho nacho kimepunguzwa mpaka paundi milioni 10.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited