Timu ya Manchster United imeendelea kukomalia nafasi nne za juu baada ya jana kuifunga timu ya Brightons mabao 3-0 huku Bruno Fernandes akiendelea kuonyesha kiwango kizuri baada ya kufunga mabao mawili.
Bruno alifunga mabao hayo dakika za 29 na 50 huku kinda Mason Greenwod akitangulia dakika ya 16 mabao yaliyodumu mpaka mwisho wa mchezo.
Ushindi huo unaifanya Man utd kuikaribia Top Four baada ya kufikisha pointi 52 nyuma ya Chelsea wenye pointi 54 huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.