Klabu ya Al ahly inatarajiwa kuwakosa nyota wake watano kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa baani Afrika dhidi ya Simba scv siku ya jumatano katika mchezo utakaofanyika uwanja wa mkapa jijini Dar es salaam.
Mastaa hao wakutegemewa katika kikosi hicho wataukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali kama vile majeruhi na kadi za njano ambazo mfululizo wake umepelekea kukosa baadhi ya michezo.
Mastaa watakaokosa mchezo huo ni:
↪️ Taher Mohamed Taher
↪️ Mohsen Salah
↪️Ayman Ashraf
↪️Ali Mâaloul
↪️ Walid Soliman