Site icon Sports Leo

Mbuna Meneja Mpya Yanga

Klabu ya Yanga imemteua nahodha wake wa zamani Fred Mbuna kuwa mtunza vifaa wa timu hiyo akichukua nafasi ya Mohamed Mposo.

Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinadai kuwa beki huyo tayari ameshataarifiwa kuhusu uteuzi huo na kilichobaki ni taratibu za kumtangaza na kuanza kazi.

Mbuna aliyekua beki tegemeo wa pembeni na nahodha wa klabu hiyo tayari ameshapewa taarifa na amethibitisha kuhusu uteuzi huo.

Exit mobile version