Mshambuliaji Benard Morrisson leo amajiunga na wachezaji wnzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa sheria jijini Dar es salaam.
Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameingia katika mgogoro na timu hiyo kufuatana na kukana kuwa na mkataba akisisitiza kuwa mkataba wake aliousaini ni wa miezi sita ambayo utaisha julai mwaka huu.
Pia beki wa zamani wa klabu hiyo Abdalah Shaibu “Ninja” pia alikuwepo uwanjani hapo akifanya mazoezi na kikosi hicho.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.