Ligi kuu nchini Morocco Botola pro itakuwa ligi ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia Teknolojia ya VAR kwenye mchezo wa ligi hiyo ambayo kesho itaendelea katika Round ya Pili.
Taarifa kutoka Morocco zinasema kuwa Teknolojia hiyo ya VAR itafungwa na kutumika katika viwanja vyote nchini Morocco ambavyo ligi kuu inachezwa.
Simon Msuva mtanzania anayeichezea klabu ya Diffaa El-Jadid ni mmoja ya wachezaji watakaochezeshwa na VAR,mwamuzi ambae watu wengi wamekua wakilalamika kufuatia kuwa na maamuzi ya utata hasa katika sheria ya kuotea.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.