421161299 950071043148146 537070205290518344 n

Msuva Aikacha Yanga Sc,Atua Uarabuni

Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Tanzania Simon Msuva amekataa kurudi nyumbani kujiunga na klabu ya Yanga na kuamua kujiunga na klabu ya Al Najmah inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Saudi Arabia. Kipindi cha dirisha dogo la usajili kulikuwa na tetesi za nyota huyo aliyewahi kutamba akiwa na Yanga anaweza akarejea kwenye timu hiyo mabingwa watetezi wa…

Soma Zaidi
Msuva Stars ...

Msuva Mbioni Kujiunga Yanga sc

Mshambuliaji Simon Msuva yupo katika hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Yanga sc katika usajili wa dirisha dogo baada ya kuachana na klabu yake ya Js Kybilie ya nchini Algeria kwa makubaliano ya pande mbili. Mpaka sasa mazungumzo baina ya mabosi wa klabu hiyo na Yanga sc yamefikia hatua nzuri kutokana na klabu hiyo…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 400527450 6744430688986104 8459755777713198228 n 1080

Msuva Majanga Tupu

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria  imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa aliyekua mchezaji wao raia wa Tanzania, Simon Msuva ambapo mpaka sasa sababu ya kuvunja mkataba huo haijawekwa wazi. Kupitia mtandao wao wa kijamii wa Instagram wa klabu hiyo wameeleza kuwa wamevunja mkataba huo kwa amani na wanamtakia mafanikio…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks