Home Soka NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS

NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS

by Dennis Msotwa
0 comments


Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi. Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.
Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye kambi ya Marbella na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya awali ya mchezo wa fainali.
Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitiha kwamba hatamtumia mshambuliaji huyo kwenye mchezo wake wa fainali utakaopigwa Juni Mosi.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited