Home Soka Novemba Ya Mane

Novemba Ya Mane

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Sadio Mane ameibuka mchezaji bora wa mwezi Novemba wa ligi kuu ya Uingereza akiwapiku Delle Alli,Raul Jimenez, Lys Mousset, Son Heung-min, Caglar Soyuncu na Jamie Vardy.

Mane ameshinda tuzo hiyo baada yya kuonyesha kiwango kizuri kwa mwezi huo akifunga mabao manne na kusaidia upatikanaji wa goli moja huku pia akifunga dhidi ya Manchester city katika michezo ya mwezi Novemba.

Staa huyo raia wa Senegal atakuwa uwanjani tena kesho Jumamosi akicheza dhidi ya Watford katika michezo ya ligi kuu nchini uingereza.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited