Nusu fainali ya kombe la mapinduzi Cup inatarajiwa kuendelea leo kati ya Yanga sc dhidi ya Azam Fc huku Simba sc ikiikaribisha Namungo Fc.
Mchezo kati ya Yanga sc dhidi ya Azam fc utafanyika mchana wa leo saa kumi jioni huku Simba sc dhidi ya Namungo utafanyika saa mbili na robo usiku huku michezo yote ikifanyika katika uwanja wa Amani visiwani Zanzibar.