Klabu ya Kmc yenye maskani yake Kinondoni jijini Dar es salaam imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma jiji Fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Bao pekee lililofungwa na Emmanuel Mvuyekure dakika ya 58 kupitia kona iliyopigwa na Ally Ramadhan lilitosha kuipa alama tatu timu hiyo inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.