Mshambuliaji wa timu ya Liverpool fc Mohamed Salah ataikosa michezo ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Kenya na Comoro kufuatia kaundamwa na majeraha aliyoyapata wakati akiitumikia timu ya Liverpool.
Salah ataikosa michezo hiyo ya timu ya taifa baada ya kuwa na majeraha ya enka aliyoyapata wakati wa mchezo wa ligi kuu dhidi Man city baada ya kugongana na Fernandinho dakika ya 87 na alijiunga na timu ya taifa lakini ilibainika anahitaji muda wa matibabu.
“Mchezaji alikuja kambini Jumanne jioni akawa chini ya uangalizi hata alipokuwa akifanya mazoezi uwanja wa Burj Al Arab alikuwa kwenye uangalizi,” ilisema taarifa hiyo
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.