Kamati ya utendaji ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF) inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League ambapo Rais wa FIFA Gianni Infantino ametoa baraka.
Michuano hiyo inatajwa kuwa itashirikisha timu 20, hadi sasa timu 15 ndio zinatajwa kuwa zitashiriki huku timu tano zikiwa bado hazijatoa majibu ya ushiriki wao huku Kutoka Tanzania ni klabu ya Simba sc pekee ndio imetajwa kwenye orodha.
Timu zilizotajwa kushiriki hadi sasa;
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
1.Wydad Casablanca, Raja Casablanca, RS Berkane Al Ahly, Zamalek, Pyramids,Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs,TP Mazembe, AS Vita Club,Al Hilal, Al Merrikh,Simba SC na Horoya FC.