Home Soka Simba Yawafuata Ud Songo Kibabe

Simba Yawafuata Ud Songo Kibabe

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Simba sc leo imeondoka nchini kwenda nchini Msumbiji kwenda kucheza na Ud Songo katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo utakaopigwa  siku ya kesho Jumamosi nchini humo.

Simba imeondoka na takribani mastaa wote wa kikosi cha kwanza huku ikitumia ndege maalumu ya kukodi ambayo itawasubiri kisha kuwarejesha nchini mara baada ya mchezo ili kuwahi maandalizi ya mechi ya kombe la ngao ya hisani dhidi ya Azam fc.

banner

Katika kikosi hicho kilichotua uwanja wa ndege walionekana makipa Beno Kakolanya na Ally Salim huku mabeki Gadiel Michael,Pascal Wawa,Gerson Fraga,Shomari Kapombe na viungo Mzamiru Yassin huku Meddie Kagere na Wilker da Silver wakiongoza safu ya ushambuliaji.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited