Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kumsajili mshambuliaji kinda kutoka katika klabu ya Biashara united ya Mara Yusuph Athumani kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mchezaji huyo aliwahi kupitia katika timu ya vijana ya Yanga kabla ya kwenda Mbao Fc ya Mwanza na baadae lusajiliwa na wanajeshi wa mpakani Biashara united.
Athumani (21) amekuwa usajili wa pili wa Yanga kutambulishwa katika dirisha hili baada ya ule wa straika Fiston Mayele kutoka As Vita.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.