Home Soka Traore Matatani

Traore Matatani

by Sports Leo
0 comments

Adama Traore ameitwa kwenye kikosi cha Hispania kinachojiandaa na mechi za kufuzu Euro2020 ili kuziba pengo la winga Rodrigo Moreno aliyepata majeraha.

Jumanne iliripotiwa winga wa Wolves, Adama Traore amechagua kuitumikia timu ya taifa ya Mali na atakuwepo kwenye mechi za kufuzu AFCON 2021 wikendi ijayo

Traore wazazi wake ni wazawa wa Mali ila yeye kazaliwa Catalonia na amewahi kucheza kwenye timu za vijana za Hispania (Miaka 16,17,19 na 21 ) lakini hajawahi kucheza kwenye timu kubwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited