Sare Yamvuruga Kocha Mali,Akimbilia Fifa
Katika mchezo uliokuwa umejaa hisia kali za uzalendo baina ya Mali na Zambia, Mali imehisi imedhulumiwa kutokana na matokeo ya sare ya 1–1 dhidi ya Zambia katika mechi yao ya ufunguzi ya AFCON 2025 na kocha mkuu wa nchi hiyo Tom Saintief amehimiza FIFA kuchukua hatua juu ya baadhi ya mambo yanayoathiri timu yake. Mchezo…
