Home Soka Tshitshimbi Aiweka Mtegoni Yanga

Tshitshimbi Aiweka Mtegoni Yanga

by Sports Leo
0 comments

Kiungo na nahodha wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshitshimbi amekataa kusaini mkataba mpya wa klabu hiyo baada ya kutoridhika na maslahi aliyowekewa na klabu hiyo hasa mshahara na dau la usajili.

Kiungo huyo alipewa mkataba baada ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Gsm wanaosimamia usajili katika klabu hiyo.

Inadaiwa kiungo huyo anahitaji kiasi cha shilingi za kitanzania Milioni 150 huku mshahara wa milioni 18 kwa mwezi huku timu kama Simba sc na Tp mazembe zikimnyemelea kwa ukaribu mkongo huyo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited