Ndio msemo rahisi kuusema kwa sasa baada ya jana Liverpool kushindwa kuonyesha ubabe mbele ya Atletico Madrid baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya.
Saul Niguez ndie aliepeleka kilio baada ya kufunga bao dakika ya nne ya mchezo na kuwatanguliza wenyeji katika uwanja wa Estadio Metropolitano licha ya Liver kuwa na umiliki wa mpira kwa asilimia 73.
Liverpool itawalazimu kujipanga mchezo wa marudiano utakaofanyika Anfield ili kuweza kufuzu hatua ya robo fainali.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.