Klabu ya Yanga sc imetangaza kamati mpya ya uhamasishaji ambayo itahusika na shughuli zote za hamasa huku majina ya mastaa maarufu hasa waigizaji yakiwa yametawala akiwemo Jackline Wolper na King Mwalubadu.
Kamati hiyo ambayo italelewa na mwanachama muhimu wa Yanga hasa katika kipindi kigumu cha ukata Anthony Mavunde ambaye pia ni mbunge na naibu waziri wa ajira huku mwenyekiti wa kamati hiyo akiwa Suma Mwaikenda na wajumbe na Wolper na Mwalubadu ni Said Mrisho,Clifford Lugola,Dominick Salamba,Hassan Bumbuli,Khamis Dacota,Leavan Maro,Dr David Luhango,Jimmy Msindo,Jimmy Mafufu,Irene Uwoya,Injia Deo Mutta,Junior Ahmed,Haji Mboto,Miriam Odemba,Frola Mvungi,Senga na Halima Yahaya.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.