Site icon Sports Leo

Yanga Kuivaa Kagera Sugar

Yanga itajitupa uwanjani kutetea nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kwa kuivaa Kagera Sugar katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la Shirikisho.

Yanga sc inahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kunyakua taji hilo lenye tikeki ya kushiriki michuano ya kimataifa baada ya kushindwa kuipata nafasi hiyo kupitia ligi kuu ambapo Simba sc imetwaa nafasi hiyo.

Exit mobile version