Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa uwanja wa Michezo unaotarajiwa kujengwa jijini Dodoma utagharimu shilingi Bilioni 352 ambazo ni fedha kutoka Serikali ya …
AFCON
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025 baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Guinea kwa bao 1-0 katika …
-
Wakati Beki wa kushoto wa klabu ya Simba Sc Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube amesaidia nchi yake ya Zimbabwe kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namibia ikiwa katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuano …
-
Timu ya Taifa ya Nigeria imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kuibuka na ushindi wa 4-2 kwa penati baada …
-
Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) sasa imeingia hatua ya nusu fainali ambapo timu nne za Congo Drc,Nigeria,Ivory Coast na Afrika kusini watamenyana kuwania nafasi ya kuingia fainali ya …
-
Timu ya Taifa ya Senegal imetolewa katika michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kwa penati dhidi ya timu ya Taifa ya Ivory Coast baada …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limeanzisha uchunguzi maalumu juu ya vurugu zilizotokea wakati wa mchezo wa pili wa kundi F baina ya timu za Taifa za Morocco na Congo …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada …
-
Bingwa mtetezi wa Fainali ya Mataifa Afrika (Afcon) Timu ya Taifa ya Senegal imetinga hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Cameroon mabao 3-1 leo katika Uwanja wa Charles Konan …