Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Adel Amrouche ameyatimba baada ya shirikisho la soka barani Afrika(Caf) kumfungia kutokana na kutoa kauli mbaya juu ya Shirikisho hilo …
AFCON
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Morocco katika mchezo wa kwanza wa kundi F uliofanyika katika mji wa San Pedro nchini Ivory …
-
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili Ivory Coast kwenye mji wa San Pedro tayari kwa mashindano ya michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) yanayotaraji kuanza Januari 13, 2024 nchini humo. …
-
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) usiku wa leo itafahamu wapinzani wake watatu katika kundi kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 zitakazofanyika mwakani huko Ivory Coast ambapo …
-
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika Patrice Motsepe ametangaza kuwa nchi za Tanzania,Kenya na Uganda kwa pamoja zitaandaa fainali ya michuano ya kombe la mataiafa ya Afrika mwaka 2027 …
-
Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limeboresha maslahi ya wachezaji wake wa timu ya Taifa hasa kuelekea katika mchezo muhimu wa kufuzu Afcon ambapo awali posho ya siku ilikuwa Sh1.2 milioni …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambacho kitaingia katika mchezo wa kufuzu fainali ya mataifa ya Africa (Afcon) dhidi ya Algeria tayari kimeingia kambini nchini Tunisia kujiandaa …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana mei 29, 2023 ameongoza kikao cha Mawaziri wa nchi za Kenya na Uganda kwa njia ya mtandao ikiwa ni …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuifunga Uganda katika mchezo wa makundi ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Ivory Coast na kufufua matumaini …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki …