Kama yalivyokua matarajio ya wengi kwamba klabu ya Simba sc itapoteza mchezo wale wa hatua ya robo fainali dhidi ya Al Ahly Fc uliofanyika nchini Misri katika uwanja wa Cairo …
al ahly
-
-
Klabu ya Simba Sc imeamua kuweka kambi maalumu ya maandalizi visiwani Zanzibar Kuiwinda Al Ahly katika mchezo ujao wa ligi ya mabingwa barani Afrika utakaopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa …
-
Klabu ya Yanga sc imekubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Al Ahly Fc na kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika kupitia kundi D …
-
Mazungumza ya kuongeza mkataba mpya baina ya klabu ya Al Ahly na mshambuliaji Percy Tau yamefikia pazuri ambapo staa huyo anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga klabuni hapo kwa …
-
Klabu ya Al Ahly imesitisha usajili wa golikipa wa klabu ya National Bank ya Misri Mohamed Abou Gabal “Gabaski” siku tatu baada ya kumsajili kwa mkopo kuziba nafasi ya El …
-
Baada ya kuwasili nchini Kikosi cha Al Ahly Sc kimefanya mazoezi ya mwisho hii leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa kuwakabili Young Africans hapo kesho Jumamosi. Kikosi hicho …
-
Mastaa watatu wa klabu ya Al Ahly ya nchini Misri wapo hatihati kuivaa Yanga sc katika mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika utakaofanyika nchini siku ya …
-
Klabua ya Simba sc imeshindwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya African Football League baada ya kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly katika mchezo wa pili wa …
-
Klabu ya Simba sc ina wakati mgumu kuelekea mchezo wa marudiano wa michuano ya African Footbal League nchini Misri dhidi ya Al Ahly baada ya kutoka sare ya 2-2 katika …
-
Klabu ya Al-Ahly imethibitisha kuwa Mlinzi wao wa kushoto mwenye magoli 50 katika klabu hiyo Ali Maaloul aliyeukosa mchezo dhidi ya Simbaa sc jijini Dar es salaam amerejea kwenye kikosi …