Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan imethibitisha kuachana na kocha wake Florent Ibenge baada ya miaka mitatu ya kufanya kazi na klabu hiyo kubwa nchini humo. Timu hiyo …
Al Hilal Fc
-
-
Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan imependekeza jina la kocha wa Simba Sc raia wa Afrika kusini Fadru Davis kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza kukinoa kikosi chao kuanzia …
-
Taarifa kutoka nchini Burundi zinasema klabu ya Yanga sc ipo katika hatua za mwisho kumalizana na winga wa nchi hiyo Jean Claude Girumugisha ambaye anakipiga katika klabu ya Al Hilal …
-
Kocha wa klabu ya Al Hilal Omdurman Florent Ibenge amesema kuwa mchezo baina ya klabu yake dhidi ya Yanga sc ni mchezo mgumu lakini sio muhimu sans kwake kwa kuwa …
-
Kikosi Cha Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan tayari kimewasili Tanzania alfajiri ya leo Novemba 20,2024 kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Yanga SC utakaochezwa …
-
Klabu ya Azam Fc imeanza mazungumzo na kocha wa klabu ya Al Hilal Fc Florent Ibenge ili kuinoa klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Yousouph Dabo iliyemtimua wiki iliyopita. Azam …
-
Klabu ya Al Hilal ya Sudan inampango wa kumrejesha Kipa wake anayekipiga Kwa mkopo wa nusu msimu ndani ya klabu ya Azam Mohammed Mustafa mwishoni mwa msimu huu kutokana na …
-
Klabu za Simba sc na Al Hilal Fc ya Sudan zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Prince Dube wa klabu ya Azam Fc baada ya kutuma ofa katika klabu hiyo ambayo …
-
Mabosi wa Al Hilal Fc ya Sudan wamevutiwa na uwezo wa kiungo mshambuliaji na nahodha wa KMC Awesu Awesu hivyo muda wowote yawezekana mazungumzo ya kumsajili yakaanza ili ajiunge nao …
-
Wakati kikosi cha Al Hilal Fc kikiwa hapa nchini kujiandaa na michuano ya kimataifa kesho kinatarajiwa kukutana na Kmc Fc kucheza mchezo wa kirafiki utakaofanyika katika uwanja wa Baobab uliopo …